Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Esther 10
Bible en Swahili de l’est


1 Basi mfalme Ahasuero alitoza kodi katika nchi na katika visiwa vya bahari. Esaïe 24.15 Psaumes 72.10 Esther 8.9 Luc 2.1 Daniel 11.18
2 Na matendo yake yote yenye nguvu na ya ushujaa, na habari zote za ukuu wake Mordekai ambao alipewa na mfalme, hazikuandikwa katika kitabu-cha-taarifa cha wafalme wa Umedi na Uajemi? Esther 8.15 Esther 9.4 Esther 2.23 Esther 6.1 Daniel 2.48
3 Kwa maana Mordekai Myahudi akawa wa pili wake mfalme Ahasuero, na mkuu wa Wayahudi, amependeza mbele ya jamii ya ndugu zake; ambaye aliwatafuta watu wake wema, na kuiangalia hali njema ya wazao wao wote. Néhémie 2.10 Daniel 5.29 Romains 14.18 Genèse 41.40 Genèse 41.43-41.44

Cette Bible est dans le domaine public.