Un clic sur un verset envoie vers le comparateur de versions.
Psaumes 100.4 Bible en Swahili de l’est
Appel à louer l’Éternel
1 Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote; 2 Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba; 3 Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake. 4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake; 5 Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.