Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 100.1
Bible en Swahili de l’est


1 Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;Psaumes 98.4 Sophonie 3.14 Psaumes 66.1 Romains 15.10 Psaumes 47.5
2 Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba;Psaumes 95.2 Philippiens 4.4 Deutéronome 28.47 2 Chroniques 31.2 Actes 2.46-2.47
3 Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.Psaumes 95.6-95.7 Psaumes 46.10 Psaumes 119.73 Ezéchiel 34.30-34.31 Ephésiens 2.10
4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake;Psaumes 116.17-116.19 Hébreux 13.15 Psaumes 96.2 Psaumes 66.13 Esaïe 35.10
5 Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.Psaumes 107.1 Psaumes 106.1 Psaumes 36.5 Jérémie 33.11 Psaumes 86.5

Cette Bible est dans le domaine public.