Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 100
Bible en Swahili de l’est


1 Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote; Psaumes 98.4 Psaumes 66.1 Sophonie 3.14 Luc 19.37 Romains 15.10
2 Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba; Psaumes 95.2 Deutéronome 28.47 Philippiens 4.4 Deutéronome 16.14 Psaumes 63.4-63.5
3 Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake. Psaumes 95.6-95.7 Psaumes 46.10 Psaumes 119.73 Ezéchiel 34.30-34.31 Ephésiens 2.10
4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake; Psaumes 116.17-116.19 Hébreux 13.15 Psaumes 96.2 1 Chroniques 29.13 Psaumes 66.13
5 Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi. Psaumes 106.1 Psaumes 107.1 Psaumes 36.5 Jérémie 33.11 Psaumes 136.1-136.26

Cette Bible est dans le domaine public.