Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 133.1
Bible en Swahili de l’est


1 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.1 Corinthiens 1.10 Philippiens 2.2-2.5 1 Pierre 3.8 Hébreux 13.1 1 Jean 3.14-3.19
2 Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.Lévitique 8.12 Exode 29.7 Exode 30.25-30.30 Exode 39.24 Proverbes 27.9
3 Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko Bwana alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele.Deutéronome 28.8 Psaumes 42.8 Deutéronome 4.48 Lévitique 25.21 Psaumes 21.4

Cette Bible est dans le domaine public.