Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 134.2
Bible en Swahili de l’est


1 Tazama, enyi watumishi wa Bwana, Mhimidini Bwana, nyote pia. Ninyi mnaosimama usiku Katika nyumba ya Bwana.1 Chroniques 9.33 Psaumes 135.1-135.2 Psaumes 103.21 Psaumes 120.1 Apocalypse 19.5
2 Painulieni patakatifu mikono yenu, Na kumhimidi Bwana.Psaumes 28.2 1 Timothée 2.8 Psaumes 63.4 Lamentations 2.19 Psaumes 141.2
3 Bwana akubariki toka Sayuni, Aliyezifanya mbingu na nchi.Psaumes 128.5 Psaumes 124.8 Psaumes 135.21 Psaumes 14.7 Psaumes 110.2

Cette Bible est dans le domaine public.