Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 26.4
Bible en Swahili de l’est


1 Ee Bwana, unihukumu mimi, Maana nimekwenda kwa ukamilifu wangu, Nami nimemtumaini Bwana bila wasiwasi.Psaumes 7.8 Psaumes 28.7 Proverbes 20.7 2 Rois 20.3 Psaumes 54.1
2 Ee Bwana, unijaribu na kunipima; Unisafishe mtima wangu na moyo wangu.Psaumes 7.9 Psaumes 17.3 Psaumes 139.23-139.24 Job 13.23 Psaumes 66.10
3 Maana fadhili zako zi mbele ya macho yangu, Nami nimekwenda katika kweli yako.2 Rois 20.3 2 Jean 1.4 1 Jean 4.7-4.12 1 Jean 1.7 Ephésiens 4.20-4.25
4 Sikuketi pamoja na watu wa ubatili, Wala sitaingia mnamo wanafiki.Psaumes 1.1 Jérémie 15.17 Psaumes 119.115 Proverbes 12.11 1 Corinthiens 15.33
5 Nimelichukia kusanyiko la watenda mabaya, Wala sitaketi pamoja na watu waovu.Psaumes 31.6 Psaumes 139.21-139.22 Psaumes 101.3-101.8 1 Corinthiens 5.9-5.11 Psaumes 1.1
6 Nitanawa mikono yangu kwa kutokuwa na hatia, Na kuizunguka madhabahu yako, Ee BwanaPsaumes 73.13 Psaumes 43.4 Exode 30.19-30.20 Hébreux 10.19-10.22 Psaumes 24.4
7 Ili niitangaze sauti ya kushukuru, Na kuzisimulia kazi zako za ajabu.Psaumes 9.1 Psaumes 105.2 Psaumes 118.27 Psaumes 71.17-71.19 Psaumes 145.5
8 Bwana, nimependa makao ya nyumba yako, Na mahali pa maskani ya utukufu wako.Luc 2.49 Jean 2.14-2.17 Luc 2.46 Psaumes 27.4-27.6 Psaumes 63.2-63.3
9 Usiiondoe nafsi yangu pamoja na wakosaji, Wala uhai wangu pamoja na watu wa damu.Psaumes 139.19 Psaumes 28.1-28.3 Matthieu 24.51 Matthieu 25.46 Psaumes 51.14
10 Mikononi mwao mna madhara, Na mkono wao wa kuume umejaa rushwa.Deutéronome 16.19 1 Samuel 8.3 Exode 23.8 Proverbes 4.16 Psaumes 10.14
11 Ila mimi nitakwenda kwa ukamilifu wangu; Unikomboe, unifanyie fadhili.Psaumes 69.18 Psaumes 26.1 Psaumes 103.3-103.4 1 Samuel 12.2-12.5 Néhémie 5.15
12 Mguu wangu umesimama palipo sawa; Katika makusanyiko nitamhimidi Bwana.Psaumes 27.11 Psaumes 40.2 Proverbes 10.9 Psaumes 111.1 Psaumes 26.7

Cette Bible est dans le domaine public.