Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 120.3
Bible en Swahili de l’est


1 Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia.Psaumes 18.6 Jonas 2.2 Hébreux 5.7 Esaïe 37.3-37.4 Luc 22.44
2 Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.Proverbes 12.22 Psaumes 140.1-140.3 Matthieu 26.59-26.62 Psaumes 35.11 Psaumes 109.1-109.2
3 Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?Romains 6.21 Job 27.8 Matthieu 16.26
4 Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.Psaumes 45.5 Psaumes 57.4 Proverbes 12.22 Proverbes 18.21 Deutéronome 32.23-32.24
5 Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.Ezéchiel 27.13 Genèse 10.2 Genèse 25.13 Cantique 1.5 1 Samuel 25.1
6 Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.Matthieu 10.16 1 Samuel 20.30-20.33 Matthieu 10.36 Psaumes 57.4 Tite 3.3
7 Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.Psaumes 109.4 2 Samuel 20.19 Psaumes 55.20 Psaumes 35.20 Psaumes 34.14

Cette Bible est dans le domaine public.