Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 120.6
Bible en Swahili de l’est


1 Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia.Jonas 2.2 Psaumes 18.6 Hébreux 5.7 Psaumes 122.1 Psaumes 121.1
2 Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.Psaumes 109.1-109.2 Psaumes 52.2-52.4 Proverbes 12.22 Psaumes 140.1-140.3 Matthieu 26.59-26.62
3 Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?Romains 6.21 Job 27.8 Matthieu 16.26
4 Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.Psaumes 45.5 Psaumes 7.13 Proverbes 19.5 Jacques 3.5-3.8 Psaumes 59.7
5 Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.Ezéchiel 27.13 Genèse 10.2 Genèse 25.13 Cantique 1.5 2 Pierre 2.7-2.8
6 Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.Tite 3.3 Ezéchiel 2.6 Matthieu 10.16 1 Samuel 20.30-20.33 Matthieu 10.36
7 Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.Psaumes 109.4 Romains 12.18 1 Samuel 24.9-24.11 1 Samuel 26.2-26.4 Ephésiens 2.14-2.17

Cette Bible est dans le domaine public.