Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 123.3
Bible en Swahili de l’est


1 Nimekuinulia macho yangu, Wewe uketiye mbinguni.Psaumes 121.1 Psaumes 141.8 Psaumes 2.4 Psaumes 11.4 Psaumes 120.1
2 Kama vile macho ya watumishi Kwa mkono wa bwana zao Kama macho ya mjakazi Kwa mkono wa bibi yake; Hivyo macho yetu humwelekea Bwana, Mungu wetu, Hata atakapoturehemu.Psaumes 40.1-40.3 Psaumes 130.5-130.6 Luc 18.1 Lamentations 3.25-3.26 Psaumes 25.15
3 Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu sisi, Kwa maana tumeshiba dharau.Luc 18.11-18.13 Psaumes 89.50-89.51 Luc 16.14 Psaumes 56.1-56.2 Néhémie 4.2-4.4
4 Nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha, Na dharau ya wenye kiburi.Job 12.5 Psaumes 119.51 Jérémie 48.11 Actes 17.32 Jérémie 48.29

Cette Bible est dans le domaine public.