Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 125
Bible en Swahili de l’est


1 Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele. Jérémie 17.7-17.8 Psaumes 120.1 Psaumes 25.2 1 Chroniques 5.20 Abdias 1.21
2 Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele. Zacharie 2.5 Psaumes 121.8 Jean 10.28-10.29 Deutéronome 33.27 Psaumes 34.7
3 Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya fungu la wenye haki; Wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye upotovu. Proverbes 22.8 Psaumes 89.22 Psaumes 103.9 1 Corinthiens 10.13 Psaumes 103.14
4 Ee Bwana, uwatendee mema walio wema, Nao walio wanyofu wa moyo. Psaumes 119.68 Psaumes 7.10 1 Jean 3.17-3.24 Psaumes 94.15 Psaumes 84.11
5 Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka, Bwana atawaondoa pamoja na watenda maovu. Amani ikae na Israeli. Psaumes 128.6 Proverbes 2.15 Galates 6.16 Psaumes 40.4 Esaïe 59.8

Cette Bible est dans le domaine public.