Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 142.7
Bible en Swahili de l’est


1 Kwa sauti yangu nitamlilia Bwana, Kwa sauti yangu nitamwomba Bwana dua.Psaumes 30.8 Psaumes 57.1 Psaumes 28.2 Psaumes 54.1 Psaumes 141.1
2 Nitafunua mbele zake malalamiko yangu, Shida yangu nitaitangaza mbele zake.Esaïe 26.16 Hébreux 5.7 Romains 8.26 Psaumes 102.1-102.28 Philippiens 4.6-4.7
3 Nilipozimia roho uliyajua mapito yangu; Katika njia niendayo wamenifichia mtego.Psaumes 140.5 Psaumes 143.4 Matthieu 22.15 Psaumes 61.2 Psaumes 31.4
4 Utazame mkono wa kuume ukaone, Kwa maana sina mtu anijuaye. Makimbilio yamenipotea, Hakuna wa kunitunza roho.Psaumes 31.11 Psaumes 88.18 Psaumes 69.20 Psaumes 88.8 1 Samuel 23.19-23.20
5 Bwana, nimekuita nikasema, Ndiwe kimbilio langu, Fungu langu katika nchi ya walio hai.Psaumes 16.5 Psaumes 27.13 Psaumes 46.1 Psaumes 119.57 Psaumes 56.13
6 Ukisikilize kilio changu, Kwa maana nimedhilika sana. Uniponye nao wanaonifuatia, Kwa maana wao ni hodari kuliko mimi.Psaumes 79.8 Psaumes 116.6 Psaumes 17.1 1 Samuel 24.14 Psaumes 38.19
7 Uitoe nafsi yangu kifungoni. Nipate kulishukuru jina lako. Wenye haki watanizunguka, Kwa kuwa Wewe unanikirimu.Psaumes 13.6 Psaumes 143.11 Psaumes 146.7 Psaumes 22.21-22.27 Psaumes 9.14

Cette Bible est dans le domaine public.