Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 70.2
Bible en Swahili de l’est


1 Ee Mungu, uniokoe, Ee Bwana, unisaidie hima.Psaumes 40.13-40.17 Psaumes 38.1 Psaumes 143.7 Psaumes 71.12 Psaumes 69.18
2 Waaibike, wafedheheke, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, watahayarishwe, Wapendezwao na shari yangu.Psaumes 35.26 Psaumes 35.4 Psaumes 109.29 Psaumes 6.10 Esaïe 28.13
3 Warudi nyuma, na iwe aibu yao, Wanaosema, Ewe! Ewe!Psaumes 40.15 Actes 1.18 Ezéchiel 26.2 Ezéchiel 25.3 Psaumes 35.25
4 Washangilie, wakufurahie, Wote wakutafutao. Waupendao wokovu wako Waseme daima, Atukuzwe Mungu.Psaumes 35.27 Esaïe 65.13-65.14 Jean 16.20 Esaïe 61.10 Psaumes 40.16
5 Nami ni maskini na mhitaji, Ee Mungu, unijilie kwa haraka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Bwana, usikawie.Psaumes 141.1 Psaumes 40.17 Psaumes 109.22 Hébreux 10.37 Apocalypse 22.20

Cette Bible est dans le domaine public.