Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 120.1
Bible en Swahili de l’est


1 Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia.Jonas 2.2 Psaumes 18.6 Hébreux 5.7 Psaumes 124.1 Psaumes 126.1
2 Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.Psaumes 52.2-52.4 Proverbes 12.22 Psaumes 140.1-140.3 Matthieu 26.59-26.62 Psaumes 35.11
3 Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?Romains 6.21 Job 27.8 Matthieu 16.26
4 Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.Psaumes 45.5 Proverbes 19.5 Jacques 3.5-3.8 Psaumes 59.7 Proverbes 16.27
5 Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.Genèse 10.2 Genèse 25.13 Ezéchiel 27.13 Cantique 1.5 2 Pierre 2.7-2.8
6 Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.Ezéchiel 2.6 Matthieu 10.16 1 Samuel 20.30-20.33 Matthieu 10.36 Psaumes 57.4
7 Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.Psaumes 109.4 1 Samuel 24.9-24.11 1 Samuel 26.2-26.4 Ephésiens 2.14-2.17 Matthieu 5.9

Cette Bible est dans le domaine public.