Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 123
Bible en Swahili de l’est


1 Nimekuinulia macho yangu, Wewe uketiye mbinguni. Psaumes 121.1 Psaumes 141.8 Psaumes 11.4 Psaumes 2.4 Psaumes 120.1
2 Kama vile macho ya watumishi Kwa mkono wa bwana zao Kama macho ya mjakazi Kwa mkono wa bibi yake; Hivyo macho yetu humwelekea Bwana, Mungu wetu, Hata atakapoturehemu. Psaumes 130.5-130.6 Luc 18.1 Psaumes 40.1-40.3 Josué 9.27 Josué 9.23
3 Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu sisi, Kwa maana tumeshiba dharau. Luc 18.11-18.13 Néhémie 4.2-4.4 Psaumes 44.13-44.16 Psaumes 69.13-69.16 Psaumes 4.1
4 Nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha, Na dharau ya wenye kiburi. Job 12.5 Psaumes 119.51 Esaïe 32.11 Esaïe 32.9 Actes 17.21

Cette Bible est dans le domaine public.