Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 123
Bible en Swahili de l’est


1 Nimekuinulia macho yangu, Wewe uketiye mbinguni. Psaumes 121.1 Psaumes 141.8 Psaumes 11.4 Psaumes 2.4 Psaumes 25.15
2 Kama vile macho ya watumishi Kwa mkono wa bwana zao Kama macho ya mjakazi Kwa mkono wa bibi yake; Hivyo macho yetu humwelekea Bwana, Mungu wetu, Hata atakapoturehemu. Psaumes 40.1-40.3 Psaumes 130.5-130.6 Luc 18.1 Psaumes 119.82 Josué 10.6
3 Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu sisi, Kwa maana tumeshiba dharau. Luc 18.11-18.13 Esaïe 53.3 Psaumes 57.1 Luc 23.35 Psaumes 89.50-89.51
4 Nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha, Na dharau ya wenye kiburi. Job 12.5 Psaumes 119.51 Actes 26.24 Psaumes 73.5-73.9 1 Corinthiens 4.13

Cette Bible est dans le domaine public.