Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 124
Bible en Swahili de l’est


1 Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa, Psaumes 129.1 Romains 8.31 Psaumes 54.4 Psaumes 120.1 Psaumes 27.1
2 Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia. Psaumes 22.12-22.13 Psaumes 22.16 Psaumes 37.32 Psaumes 21.1-21.2 Psaumes 3.1
3 Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu Psaumes 35.25 Proverbes 1.12 Psaumes 57.3 Psaumes 83.4 Psaumes 74.8
4 Papo hapo maji yangalitugharikisha, Mto ungalipita juu ya roho zetu; Apocalypse 17.1 Esaïe 28.2 Psaumes 18.4 Jérémie 46.7-46.8 Psaumes 42.7
5 Papo hapo yangalipita juu ya nafsi zetu Maji yafurikayo. Job 38.11 Psaumes 93.3-93.4 Jérémie 5.22
6 Na ahimidiwe Bwana; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao. Psaumes 145.5-145.6 Psaumes 17.9 1 Samuel 26.20 Esaïe 10.14-10.19 Psaumes 118.13
7 Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka. Psaumes 91.3 Proverbes 6.5 Psaumes 25.15 Jérémie 18.22 1 Samuel 23.26-23.27
8 Msaada wetu u katika jina la Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi. Psaumes 121.2 Psaumes 134.3 Genèse 1.1 Psaumes 146.5-146.6 Jérémie 32.17

Cette Bible est dans le domaine public.