Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 128.2
Bible en Swahili de l’est


1 Heri kila mtu amchaye Bwana, Aendaye katika njia yake.Psaumes 119.1 Psaumes 112.1 Actes 9.31 Luc 1.50 Psaumes 103.13
2 Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema.Esaïe 3.10 Ecclésiaste 8.12 Esaïe 62.8 Psaumes 109.11 Esaïe 65.13
3 Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao, Vyumbani mwa nyumba yako. Wanao kama miche ya mizeituni Wakiizunguka meza yako.Ezéchiel 19.10 Psaumes 52.8 Psaumes 144.12 Proverbes 5.15-5.18 Psaumes 127.5
4 Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana. 5 Bwana akubariki toka Sayuni; Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;Psaumes 134.3 Psaumes 20.2 Psaumes 135.21 Esaïe 2.3 Ephésiens 1.3
6 Naam, ukawaone wana wa wanao. Amani ikae na Israeli.Job 42.16 Psaumes 125.5 Genèse 50.23 Esaïe 66.12 Proverbes 17.6

Cette Bible est dans le domaine public.