Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 6
Bible en Swahili de l’est


1 Bwana, usinikemee kwa hasira yako, Wala usinirudi kwa ghadhabu yako. Psaumes 38.1 1 Chroniques 15.21 Jérémie 46.28 Psaumes 2.5 Esaïe 57.16
2 Bwana, unifadhili, maana ninanyauka; Bwana, uniponye, mifupa yangu imefadhaika. Osée 6.1 Nombres 12.13 Psaumes 31.10 Psaumes 30.2 Psaumes 41.3-41.4
3 Na nafsi yangu imefadhaika sana; Na Wewe, Bwana, hata lini? Psaumes 90.13 Jean 12.27 Psaumes 77.7 Psaumes 42.11 Matthieu 26.38
4 Bwana urudi, uniopoe nafsi yangu, Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako. Psaumes 17.13 Psaumes 22.20 Psaumes 116.4 Psaumes 80.14 Psaumes 90.13
5 Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru? Psaumes 88.10-88.12 Psaumes 30.9 Psaumes 115.17 Ecclésiaste 9.10 Esaïe 38.18-38.19
6 Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakieleza kitanda changu; Nalilowesha godoro langu kwa machozi yangu. Psaumes 69.3 Psaumes 42.3 Psaumes 38.9 Job 23.2 Psaumes 88.9
7 Jicho langu limeharibika kwa masumbufu, Na kuchakaa kwa sababu yao wanaoniudhi. Psaumes 38.10 Job 17.7 Psaumes 88.9 Lamentations 5.17 Psaumes 31.9-31.10
8 Ondokeni kwangu, ninyi nyote mtendao uovu; Kwa kuwa Bwana ameisikia sauti ya kilio changu. Luc 13.27 Psaumes 119.115 Matthieu 7.23 Psaumes 3.4 Psaumes 139.19
9 Bwana ameisikia dua yangu; Bwana atayatakabali maombi yangu. Psaumes 66.19-66.20 Psaumes 116.1-116.2 Jonas 2.2 Psaumes 3.4 2 Corinthiens 12.8-12.10
10 Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, Watarudi nyuma, kwa ghafula wataaibika. Jérémie 20.11 Psaumes 86.17 Psaumes 132.18 Malachie 3.18 Psaumes 112.10

Cette Bible est dans le domaine public.