Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 67
Bible en Swahili de l’est


1 Mungu na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake. Psaumes 4.6 Psaumes 80.19 Psaumes 31.16 Psaumes 119.135 Nombres 6.24-6.27
2 Njia yake ijulike duniani, Wokovu wake katikati ya mataifa yote. Tite 2.11 Actes 18.25 Psaumes 98.2-98.3 Zacharie 8.20-8.23 Esther 8.15-8.17
3 Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru. Psaumes 119.175 Psaumes 142.7 Psaumes 45.17 Esaïe 38.18-38.19 Psaumes 67.5
4 Mataifa na washangilie, Naam, waimbe kwa furaha, Maana kwa haki utawahukumu watu, Na kuwaongoza mataifa walioko duniani. Psaumes 98.9 Romains 2.5 Actes 17.31 Psaumes 9.8 Psaumes 82.6
5 Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru. Psaumes 67.3 Matthieu 6.9-6.10
6 Nchi imetoa mazao yake MUNGU, Mungu wetu, ametubariki. Lévitique 26.4 Jérémie 31.33 Esaïe 1.19 Genèse 17.7 Esaïe 30.23-30.24
7 Mungu atatubariki sisi; Miisho yote ya dunia itamcha Yeye. Psaumes 22.27 Apocalypse 15.4 Psaumes 29.11 Psaumes 72.17 Malachie 1.11

Cette Bible est dans le domaine public.