Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 82
Bible en Swahili de l’est


1 Mungu asimama katika kusanyiko la Mungu; Katikati ya miungu anahukumu. 2 Chroniques 19.6-19.7 Ecclésiaste 5.8 Psaumes 58.11 Exode 21.6 Esaïe 3.13
2 Hata lini mtahukumu kwa dhuluma, Na kuzikubali nyuso za wabaya? Deutéronome 1.17 Proverbes 18.5 Psaumes 58.1-58.2 Galates 2.6 Job 34.19
3 Mfanyieni hukumu maskini na yatima; Mtendeeni haki aliyeonewa na fukara; Psaumes 10.18 Jérémie 22.16 Jérémie 22.3 Deutéronome 24.17 Deutéronome 10.18
4 Mwokoeni maskini na mhitaji; Mwopoeni mikononi mwa wadhalimu. Psaumes 72.12-72.14 Job 29.12 Job 5.15-5.16 Job 29.16-29.17 Proverbes 24.11-24.12
5 Hawajui wala hawafahamu, hutembea gizani; Misingi yote ya nchi imetikisika. Michée 3.1 Psaumes 11.3 Proverbes 2.13 Psaumes 14.4 Proverbes 1.29
6 Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye juu, nyote pia. Jean 10.34-10.36 Psaumes 82.1
7 Lakini mtakufa kama wanadamu, Mtaanguka kama mmoja wa wakuu. Psaumes 49.12 Ezéchiel 31.14 Job 21.32 Psaumes 83.11
8 Ee Mungu, usimame, uihukumu nchi, Maana Wewe utawarithi mataifa yote. Apocalypse 11.15 Psaumes 2.8 Psaumes 96.13 Psaumes 12.5 Michée 7.2

Cette Bible est dans le domaine public.