Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 93.4
Bible en Swahili de l’est


1 Bwana ametamalaki, amejivika adhama, Bwana amejivika, na kujikaza nguvu. Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike;Psaumes 96.10 Psaumes 65.6 Psaumes 97.1 1 Chroniques 29.12 Esaïe 45.18
2 Kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani; Wewe ndiwe uliye tangu milele.Psaumes 45.6 Psaumes 90.2 Apocalypse 2.8 Proverbes 8.22-8.23 Apocalypse 1.11
3 Ee Bwana, mito imepaza, Mito imepaza sauti zake, Mito imepaza uvumi wake.Psaumes 96.11 Psaumes 18.4 Psaumes 69.1-69.2 Jérémie 46.7-46.8 Psaumes 2.1-2.3
4 Kupita sauti ya maji mengi, maji makuu, Kupita mawimbi ya bahari yaumkayo, Bwana Aliye juu ndiye mwenye ukuu.Psaumes 65.7 Psaumes 89.6 Psaumes 89.9 Psaumes 92.8 Psaumes 114.3-114.5
5 Shuhuda zako ni amini sana; Utakatifu ndio uifaao nyumba yako, Ee Bwana, milele na milele.Psaumes 29.2 Lévitique 19.2 1 Jean 5.9-5.13 Psaumes 5.4-5.7 Psaumes 19.7-19.8

Cette Bible est dans le domaine public.