Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Job 25
Bible en Swahili de l’est


1 Ndipo Bildadi, Mshuhi, akajibu, na kusema, 2 Enzi na hofu zi pamoja naye; Hufanya amani katika mahali pake palipoinuka. Colossiens 1.20 Esaïe 57.19 Ephésiens 2.16-2.17 Jude 1.25 Jérémie 10.6-10.7
3 Je! Majeshi yake yahesabika? Ni nani asiyetokewa na mwanga wake? Jacques 1.17 Matthieu 5.45 Psaumes 103.20-103.21 Job 38.12-38.13 Genèse 1.14-1.16
4 Basi mtu awezaje kuwa na haki mbele ya Mungu? Au awezaje kuwa safi aliyezaliwa na mwanamke? Psaumes 143.2 Job 15.14-15.16 Job 9.2 Romains 5.1 Psaumes 130.3
5 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake; Job 15.15 Esaïe 60.19-60.20 2 Corinthiens 3.10 Job 31.26 Esaïe 24.23
6 Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu! Psaumes 22.6 Esaïe 41.14 Job 4.19 Job 7.17 Genèse 18.27

Cette Bible est dans le domaine public.