Perfection de l’action de Dieu
1 Haleluya Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote,Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.Psaumes 138.1 Psaumes 149.1 1 Chroniques 29.10-29.20 Psaumes 35.18 Psaumes 89.7
2 Matendo ya Bwana ni makuu, Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo.
Psaumes 143.5 Psaumes 104.24 Psaumes 139.14 Proverbes 24.14 Psaumes 92.4-92.5
3 Kazi yake ni heshima na adhama, Na haki yake yakaa milele.
Psaumes 119.142 Psaumes 145.10-145.12 Ephésiens 3.10 Esaïe 51.5-51.6 Psaumes 145.4-145.5
4 Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu; Bwana ni mwenye fadhili na rehema.
Psaumes 103.8 Psaumes 86.5 Psaumes 86.15 Psaumes 145.8 Deutéronome 31.19-31.30
5 Amewapa wamchao chakula; Atalikumbuka agano lake milele.
Psaumes 105.8 Psaumes 37.3 Psaumes 34.9-34.10 Psaumes 89.34 Psaumes 106.45
6 Amewajulisha watu wake uwezo wa matendo yake, Kwa kuwapa urithi wa mataifa.
Psaumes 80.8 Josué 6.20 Psaumes 105.27-105.45 Deutéronome 4.32-4.38 Psaumes 44.2
7 Matendo ya mikono yake ni kweli na hukumu, Maagizo yake yote ni amini,
Psaumes 19.7 Psaumes 119.160 Psaumes 105.8 Psaumes 93.5 2 Timothée 2.13
8 Yamethibitika milele na milele, Yamefanywa katika kweli na adili.
Matthieu 5.18 Psaumes 19.9 Esaïe 40.8 Apocalypse 15.3 Romains 7.12
9 Amewapelekea watu wake ukombozi, Ameamuru agano lake liwe la milele, Jina lake ni takatifu la kuogopwa.
Psaumes 99.3 Luc 1.49 Luc 1.68 Matthieu 1.21 Tite 2.14
10 Kumcha Bwana ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana akili njema, Sifa zake zakaa milele.
Proverbes 9.10 Proverbes 1.7 Job 28.28 Ecclésiaste 12.13 Proverbes 3.4