Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 130.7
Bible en Swahili de l’est


1 Ee Bwana, toka vilindini nimekulilia.Psaumes 42.7 Psaumes 71.20 Psaumes 129.1 Lamentations 3.53-3.55 Hébreux 5.7
2 Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.2 Chroniques 6.40 Néhémie 1.6 Psaumes 61.1-61.2 Néhémie 1.11 Daniel 9.17-9.19
3 Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?Psaumes 143.2 Psaumes 76.7 Job 10.14 Job 15.14 Esaïe 53.6
4 Lakini kwako kuna msamaha, Ili Wewe uogopwe.Jérémie 33.8-33.9 Esaïe 55.7 Daniel 9.9 1 Rois 8.39-8.40 Psaumes 86.5
5 Nimemngoja Bwana, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia.Psaumes 119.81 Psaumes 33.20 Psaumes 40.1 Esaïe 8.17 Psaumes 27.14
6 Nafsi yangu inamngoja Bwana, Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Naam, walinzi waingojao asubuhi.Psaumes 119.147 Psaumes 63.6 Actes 27.29 Psaumes 134.1 Esaïe 21.8
7 Ee Israeli, umtarajie Bwana; Maana kwa Bwana kuna fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi.Psaumes 131.3 Romains 5.20-5.21 Ephésiens 1.7-1.8 1 Jean 2.1-2.2 Psaumes 86.5
8 Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.Tite 2.14 Romains 6.14 Psaumes 103.3-103.4 Matthieu 1.21 Luc 1.68

Cette Bible est dans le domaine public.