Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 149.5
Bible en Swahili de l’est


1 Haleluya. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.Psaumes 33.3 Psaumes 89.5 Psaumes 96.1 Hébreux 2.12 Apocalypse 5.9
2 Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya, Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.Zacharie 9.9 Psaumes 95.6 Job 35.10 Joël 2.23 1 Samuel 12.22
3 Na walisifu jina lake kwa kucheza, Kwa matari na kinubi wamwimbie.Psaumes 81.2 Exode 15.20 Jérémie 31.13 1 Chroniques 15.28-15.29 Esdras 3.10
4 Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu.Psaumes 132.16 Psaumes 35.27 Psaumes 147.11 Esaïe 61.10 Jérémie 32.41
5 Watauwa na waushangilie utukufu, Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.Job 35.10 Psaumes 63.5-63.6 Psaumes 118.15 Psaumes 42.8 Psaumes 23.1
6 Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao, Na upanga mkali kuwili mikononi mwao.Hébreux 4.12 Apocalypse 1.16 Psaumes 66.17 Néhémie 9.5 Luc 2.14
7 Ili kufanya kisasi juu ya mataifa, Na adhabu juu ya kabila za watu.1 Samuel 15.18-15.23 Zacharie 9.13-9.16 1 Samuel 15.2-15.3 Apocalypse 19.11-19.21 Juges 5.23
8 Wawafunge wafalme wao kwa minyororo, Na wakuu wao kwa pingu za chuma.Juges 1.6-1.7 Josué 10.23-10.24 Josué 12.7 Job 36.8
9 Kuwafanyia hukumu iliyoandikwa; Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote. Haleluya.Psaumes 148.14 1 Corinthiens 6.2-6.3 Apocalypse 17.14-17.16 Ezéchiel 28.26 Deutéronome 32.42-32.43

Cette Bible est dans le domaine public.