Un clic sur un verset envoie vers le comparateur de versions.
1 Chroniques 25 Bible en Swahili de l’est
Liste et fonctions des musiciens
1 Tena Daudi na maakida wa jeshi wakatenga kwa utumishi baadhi ya wana wa Asafu, na wa Hemani, na wa Yeduthuni, watakaotabiri kwa vinubi na vinanda, na matoazi; hii ndiyo hesabu ya wafanya kazi sawasawa na utumishi wao; 2 Rois 3.15 1 Chroniques 6.39 1 Chroniques 6.33 1 Samuel 10.5 Néhémie 12.27 2 wa wana wa Asafu; Zakuri, na Yusufu, na Nethania, na Asharela, wana wa Asafu; walioamriwa na Asafu, aliyetabiri kwa amri ya mfalme. 1 Chroniques 25.6 1 Chroniques 25.1 Psaumes 80.1 1 Chroniques 16.5 Psaumes 75.1 3 Wa Yeduthuni; wana wa Yeduthuni; Gedalia, na Seri, na Yeshaya, na Hashabia, na Matithia, [na Shimei], watu sita; walioamriwa na baba yao Yeduthuni mwenye kinubi, aliyetabiri katika kumshukuru na kumsifu Bwana. 1 Chroniques 16.41-16.42 1 Chroniques 15.18 1 Chroniques 9.16 Jérémie 33.11 Psaumes 92.1 4 Wa Hemani; wana wa Hemani; Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli, na Yeremothi, Hanania, Hanani, Eliatha, Gidalti, na Romanti-ezeri, Yoshbekasha, Malothi, Hothiri, Mahaziothi; Psaumes 88.1 1 Chroniques 16.41-16.42 1 Chroniques 15.17 1 Chroniques 6.33 1 Chroniques 24.24 5 hao wote ndio wana wa Hemani, mwonaji wa mfalme, kwa maneno ya Mungu, ili kuinua pembe. Naye Mungu akampa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu. 1 Chroniques 21.9 Genèse 33.5 Psaumes 127.3 1 Samuel 9.9 1 Chroniques 28.5 6 Hao wote waliamriwa na baba yao, waimbe nyumbani mwa Bwana, wakiwa na matoazi, vinanda, na vinubi, kwa utumishi wa nyumba ya Mungu; Asafu, Yeduthuni, na Hemani wakiwa wanaamriwa na mfalme. 1 Chroniques 25.1-25.3 Colossiens 3.16 Psaumes 68.25 1 Chroniques 15.19 Ephésiens 5.19 7 Na hesabu yao, pamoja na ndugu zao waliofundishwa kumwimbia Bwana, wote waliokuwa wastadi, walikuwa mia mbili na themanini na wanane. 1 Chroniques 23.5 8 Wakatupiwa kura ya ulinzi wao, sawasawa wote, mdogo kwa mkubwa, mwalimu kwa mwanafunzi. 1 Chroniques 26.13 1 Chroniques 24.31 Néhémie 12.24 Actes 1.26 1 Chroniques 15.22 9 Kura ya kwanza ikamtokea Yusufu, kwa Asafu; ya pili Gedalia; yeye na nduguze na wanawe, kumi na wawili; 10 ya tatu Zakuri, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 11 ya nne Seri, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 12 ya tano Nethania, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 13 ya sita Bukia, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 14 ya saba Asharela, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 15 ya nane Yeshaya, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 16 ya kenda Matania wanawe na nduguze, kumi na wawili; 17 ya kumi Shimei, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 18 ya kumi na moja Uzieli, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 19 ya kumi na mbili Hashabia, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 20 ya kumi na tatu Shebueli, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 21 ya kumi na nne Matithia, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 22 ya kumi na tano Yeremothi, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 23 ya kumi na sita Hanania, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 24 ya kumi na saba Yoshbekasha, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 25 ya kumi na nane Hanani, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 26 ya kumi na kenda Malothi, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 27 ya ishirini Eliatha, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 28 ya ishirini na moja Hothiri, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 29 ya ishirini na mbili Gidalti, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 30 ya ishirini na tatu Mahaziothi, wanawe na nduguze, kumi na wawili; 31 ya ishirini na nne Romanti-ezeri, wanawe na nduguze, kumi na wawili.