Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 12.4
Bible en Swahili de l’est


1 Bwana, uokoe, maana mcha Mungu amekoma, Maana waaminifu wametoweka katika wanadamu.Esaïe 57.1 Esaïe 59.13-59.15 Esaïe 63.5 Jérémie 5.1 Esaïe 1.21-1.22
2 Husemezana yasiyofaa kila mtu na mwenziwe, Wenye midomo ya kujipendekeza; Husemezana kwa mioyo ya unafiki;Romains 16.18 Psaumes 41.6 Jérémie 9.8 Psaumes 10.7 Psaumes 5.9
3 Bwana ataikata midomo yote ya kujipendekeza, Nao ulimi unenao maneno ya kiburi;Apocalypse 13.5 Daniel 7.8 Psaumes 17.10 Daniel 4.30-4.31 Proverbes 18.21
4 Waliosema, Kwa ndimi zetu tutashinda; Midomo yetu ni yetu wenyewe, Ni nani aliye bwana juu yetu?Jacques 3.5-3.6 Jérémie 2.31 Jérémie 18.18 Genèse 3.5 2 Thessaloniciens 2.4
5 Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge, Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji, Sasa nitasimama, asema Bwana, Nitamweka salama yeye wanayemfyonya.Proverbes 14.31 Esaïe 33.10 Job 5.15 Psaumes 34.6 Psaumes 10.12
6 Maneno ya Bwana ni maneno safi, Ni fedha iliyojaribiwa kalibuni juu ya nchi; Iliyosafishwa mara saba.Proverbes 30.5 Psaumes 18.30 Psaumes 19.8 2 Samuel 22.31 Psaumes 119.140
7 Wewe, Bwana, ndiwe utakayetuhifadhi, Utatulinda na kizazi hiki milele.Psaumes 37.28 1 Pierre 1.5 1 Samuel 2.9 Psaumes 145.20 Jude 1.1
8 Wasio haki hutembea pande zote, Ufisadi ukitukuka kati ya wanadamu.Esaïe 32.4-32.6 Psaumes 55.10-55.11 Esther 3.6-3.15 Juges 9.18-9.57 Michée 6.16

Cette Bible est dans le domaine public.