Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 12
Bible en Swahili de l’est


1 Bwana, uokoe, maana mcha Mungu amekoma, Maana waaminifu wametoweka katika wanadamu. Esaïe 57.1 Esaïe 59.13-59.15 Esaïe 1.21-1.22 Esaïe 59.4 Genèse 6.12
2 Husemezana yasiyofaa kila mtu na mwenziwe, Wenye midomo ya kujipendekeza; Husemezana kwa mioyo ya unafiki; Romains 16.18 Psaumes 41.6 Jérémie 9.8 Psaumes 10.7 Psaumes 28.3
3 Bwana ataikata midomo yote ya kujipendekeza, Nao ulimi unenao maneno ya kiburi; Apocalypse 13.5 Daniel 7.8 Proverbes 18.21 Psaumes 17.10 Daniel 4.30-4.31
4 Waliosema, Kwa ndimi zetu tutashinda; Midomo yetu ni yetu wenyewe, Ni nani aliye bwana juu yetu? Jacques 3.5-3.6 Jérémie 2.31 Jérémie 18.18 Genèse 3.5 2 Thessaloniciens 2.4
5 Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge, Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji, Sasa nitasimama, asema Bwana, Nitamweka salama yeye wanayemfyonya. Proverbes 14.31 Esaïe 33.10 Job 5.21 Juges 10.16 Psaumes 146.7-146.8
6 Maneno ya Bwana ni maneno safi, Ni fedha iliyojaribiwa kalibuni juu ya nchi; Iliyosafishwa mara saba. Proverbes 30.5 Psaumes 18.30 Psaumes 19.8 2 Samuel 22.31 Psaumes 119.140
7 Wewe, Bwana, ndiwe utakayetuhifadhi, Utatulinda na kizazi hiki milele. 1 Pierre 1.5 Psaumes 37.28 Deutéronome 33.3 Psaumes 10.18 Esaïe 27.3
8 Wasio haki hutembea pande zote, Ufisadi ukitukuka kati ya wanadamu. Juges 9.18-9.57 Michée 6.16 Proverbes 29.12 Job 30.8 Osée 5.11

Cette Bible est dans le domaine public.