Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 95.5
Bible en Swahili de l’est


1 Njoni, tumwimbie Bwana, Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.2 Samuel 22.47 Psaumes 89.26 Psaumes 81.1 1 Corinthiens 10.4 Psaumes 98.4-98.8
2 Tuje mbele zake kwa shukrani, Tumfanyie shangwe kwa zaburi.Psaumes 100.4 Jacques 5.13 Psaumes 105.2 Psaumes 17.13 Michée 6.6
3 Kwa kuwa Bwana ni Mungu mkuu, Na Mfalme mkuu juu ya miungu yote.Psaumes 97.9 Psaumes 96.4 Psaumes 145.3 Psaumes 135.5 Jérémie 10.6-10.7
4 Mkononi mwake zimo bonde za dunia, Hata vilele vya milima ni vyake.Psaumes 135.6 Habakuk 3.10 Psaumes 97.5 Habakuk 3.6 Nahum 1.5
5 Bahari ni yake, ndiye aliyeifanya, Na mikono yake iliumba nchi kavu.Genèse 1.9-1.10 Job 38.10-38.11 Jonas 1.9 Jérémie 5.22 Psaumes 146.6
6 Njoni, tuabudu, tusujudu, Tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba.Psaumes 100.3 2 Chroniques 6.13 Daniel 6.10 Philippiens 2.10 Exode 20.5
7 Kwa maana ndiye Mungu wetu, Na sisi tu watu wa malisho yake, Na kondoo za mkono wake. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!Hébreux 4.7 Hébreux 3.15 Hébreux 3.7-3.11 1 Pierre 2.25 Apocalypse 3.20
8 Msifanye migumu mioyo yenu; Kama vile huko Meriba Kama siku ya Masa jangwani.Exode 17.7 Nombres 20.13 Deutéronome 6.16 1 Samuel 6.6 Exode 17.2
9 Hapo waliponijaribu baba zenu, Wakanipima, wakayaona matendo yangu.Nombres 14.22 1 Corinthiens 10.9 Psaumes 78.56 Psaumes 78.40-78.41 Psaumes 78.17-78.18
10 Miaka arobaini nalihuzunika na kizazi kile, Nikasema, Hao ni watu waliopotoka mioyo, Hawakuzijua njia zangu.Hébreux 3.17 Proverbes 1.22-1.29 Actes 7.36 Esaïe 63.17 Deutéronome 1.3
11 Nikaapa kwa hasira yangu Wasiingie rahani mwangu.Nombres 14.23 Hébreux 4.3 Hébreux 4.5 Hébreux 3.11 Hébreux 3.18

Cette Bible est dans le domaine public.