Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 16
Bible en Swahili de l’est


1 Mungu, unihifadhi mimi, Kwa maana nakukimbilia Wewe. Psaumes 56.1 Psaumes 17.8 2 Timothée 1.12 Esaïe 26.3-26.4 Psaumes 60.1
2 Nimemwambia Bwana, Ndiwe Bwana wangu; Sina wema ila utokao kwako. Psaumes 91.2 Psaumes 73.25 Zacharie 13.9 Psaumes 31.14 Psaumes 27.8
3 Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao. Malachie 3.17 Tite 3.8 Hébreux 6.10 Esaïe 62.4 2 Chroniques 6.41
4 Huzuni zao zitaongezeka Wambadilio Mungu kwa mwingine; Sitazimimina sadaka zao za damu, Wala kuyataja majina yao midomoni mwangu. Exode 23.13 Psaumes 32.10 Josué 23.7 Jonas 2.8 Jérémie 7.18
5 Bwana ndiye fungu la posho langu, Na la kikombe changu; Wewe unaishika kura yangu. Psaumes 73.26 Psaumes 23.5 Lamentations 3.24 Psaumes 142.5 Psaumes 119.57
6 Kamba zangu zimeniangukia mahali pema, Naam, nimepata urithi mzuri. Jérémie 3.19 Psaumes 78.55 Apocalypse 3.21 Romains 8.17 Jean 20.17
7 Nitamhimidi Bwana aliyenipa shauri, Naam, mtima wangu umenifundisha usiku. Psaumes 77.6 Psaumes 42.8 Psaumes 73.24 Psaumes 17.3 Esaïe 50.4
8 Nimemweka Bwana mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa. Actes 2.25-2.28 Psaumes 110.5 Psaumes 121.5 Psaumes 73.23 Psaumes 15.5
9 Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nao utukufu wangu unashangilia, Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini. Psaumes 30.12 Psaumes 57.8 Esaïe 26.19 Luc 10.21-10.22 Proverbes 14.32
10 Maana hutakuachia kuzimu nafsi yangu, Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu. Psaumes 49.15 Actes 13.35-13.38 Apocalypse 20.13 Actes 2.27-2.31 Apocalypse 1.18
11 Utanijulisha njia ya uzima; Mbele za uso wako ziko furaha tele; Na katika mkono wako wa kuume Mna mema ya milele. Actes 2.28 Apocalypse 7.15-7.17 Psaumes 21.4-21.6 Psaumes 36.7-36.8 Psaumes 17.15

Cette Bible est dans le domaine public.