Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 76
Bible en Swahili de l’est


1 Katika Yuda Mungu amejulikana, Katika Israeli jina lake ni kuu. Psaumes 4.1 Psaumes 147.19-147.20 Psaumes 54.1 1 Chroniques 29.10-29.12 2 Chroniques 2.5-2.6
2 Kibanda chake pia kiko Salemu, Na maskani yake iko Sayuni. Genèse 14.18 Psaumes 9.11 Hébreux 7.1-7.2 Esaïe 12.6 2 Chroniques 6.6
3 Huko ndiko alikoivunja mishale ya uta, Ngao, na upanga, na zana za vita. Psaumes 46.9 Ezéchiel 39.3-39.4 Ezéchiel 39.9-39.10 Esaïe 37.35-37.36 2 Chroniques 32.21
4 Wewe U mwenye fahari na adhama, Toka milima ya mateka. Ezéchiel 19.1-19.4 Jérémie 4.7 Ezéchiel 38.12-38.13 Ezéchiel 19.6 Daniel 7.17-7.28
5 Wametekwa wenye moyo thabiti; Wamelala usingizi; Wala hawakuiona mikono yao Watu wote walio hodari. Esaïe 46.12 Psaumes 13.3 Nahum 3.18 Jérémie 51.39 Job 40.10-40.12
6 Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, Gari na farasi wameshikwa na usingizi mzito. Exode 15.1 Exode 15.21 Psaumes 80.16 Exode 14.27-14.28 2 Samuel 10.18
7 Wewe ndiwe utishaye, naam, Wewe; Naye ni nani awezaye kusimama ufanyapo hasira? Nahum 1.6 Psaumes 89.7 Psaumes 130.3 Matthieu 10.28 1 Corinthiens 10.22
8 Toka mbinguni ulitangaza hukumu; Nchi iliogopa, ikakaa kimya. 2 Chroniques 20.29-20.30 Habakuk 2.20 Psaumes 46.10 2 Chroniques 32.20-32.22 Exode 19.10
9 Mungu aliposimama ili kuhukumu Na kuwaokoa wapole wa dunia wote pia. Psaumes 9.7-9.9 Matthieu 5.5 Esaïe 11.4 Psaumes 72.4 Sophonie 2.3
10 Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi. Genèse 50.20 Daniel 3.19-3.20 Romains 9.17 Psaumes 65.7 Exode 15.9-15.11
11 Wekeni nadhiri, mkaziondoe Kwa Bwana, Mungu wenu. Wote wanaomzunguka wamletee hedaya, Yeye astahiliye kuogopwa. Psaumes 68.29 Psaumes 50.14 Genèse 31.42 Psaumes 89.7 Ecclésiaste 5.4-5.6
12 Yeye huzikata roho za wakuu; Na kuwatisha wafalme wa dunia. Sophonie 3.6 Psaumes 68.12 Psaumes 48.4-48.6 Psaumes 2.5 2 Chroniques 32.21

Cette Bible est dans le domaine public.