Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 83.14
Bible en Swahili de l’est


1 Ee Mungu, usistarehe, Ee Mungu, usinyamae, wala usitulie.Psaumes 28.1 Psaumes 35.22 Psaumes 50.3 Esaïe 42.14 Psaumes 109.1-109.2
2 Maana adui zako wanafanya ghasia, Nao wakuchukiao wameviinua vichwa vyao.Psaumes 81.15 Juges 8.28 Actes 23.10 Esaïe 17.12 Psaumes 75.4-75.5
3 Juu ya watu wako wanafanya hila, Na kushauriana juu yao uliowaficha.Psaumes 27.5 Psaumes 31.20 Psaumes 64.2 Psaumes 10.9 1 Samuel 13.19
4 Wamesema, Njoni, tuwakatilie mbali wasiwe taifa, Na jina la Israeli halitakumbukwa tena.Jérémie 11.19 Jérémie 48.2 Esther 3.6-3.9 Exode 1.10 Proverbes 1.12
5 Maana wanashauriana kwa moyo mmoja, Juu yako wanafanyana agano.Psaumes 2.2 Jean 11.47-11.53 Actes 23.12-23.13 Apocalypse 17.13 Esaïe 7.2
6 Hema za Edomu, na Waishmaeli, Na Moabu, na Wahagari,1 Chroniques 5.10 Psaumes 137.7 2 Chroniques 20.1 1 Chroniques 5.19-5.20 2 Chroniques 20.10-20.11
7 Gebali, na Amoni, na Amaleki, Na Filisti, nao wanaokaa Tiro,Josué 13.5 Ezéchiel 27.9 Ezéchiel 27.3 1 Samuel 15.2 Amos 1.9
8 Ashuri naye amepatana nao, Wamewasaidia wana wa Lutu.Deutéronome 2.9 Genèse 19.37-19.38 2 Rois 15.19 Genèse 25.3 Genèse 10.11
9 Uwatende kama Midiani, kama Sisera, Kama Yabini, penye kijito Kishoni.Esaïe 9.4 Juges 5.21 Nombres 31.7-31.8 Esaïe 10.26 Juges 4.15-4.24
10 Ambao waliangamizwa Endori; Wakawa samadi juu ya nchi.Sophonie 1.17 1 Samuel 28.7 Josué 17.11 Jérémie 8.2 2 Rois 9.37
11 Uwafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu, Na masheki yao wote kama Zeba na Zalmuna.Juges 7.25 Juges 8.12-8.21
12 Ambao Walisema, Na tutamalaki makao ya Mungu.2 Chroniques 20.11 Psaumes 74.7-74.8 Psaumes 83.4
13 Ee Mungu, uwafanye kama mavumbi ya kisulisuli, Mithili ya makapi mbele ya upepo,Job 21.18 Psaumes 35.5 Esaïe 40.24 Jérémie 13.24 Job 13.25
14 Kama moto uteketezao msitu, Kama miali ya moto iiwashayo milima,Deutéronome 32.22 Esaïe 9.18 Esaïe 33.11-33.12 Esaïe 30.33 Nahum 1.6
15 Ndivyo utakavyowafuatia kwa tufani yako, Na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako.Job 9.17 Psaumes 58.9 Psaumes 50.3 Hébreux 12.18 Esaïe 30.30
16 Uwajaze nyuso zao fedheha; Wakalitafute jina lako, Bwana.Psaumes 9.19-9.20 Psaumes 109.29 Psaumes 6.10 Job 10.15 Psaumes 34.5
17 Waaibike, wafadhaike milele, Naam, watahayarike na kupotea.Psaumes 35.4 Psaumes 40.14-40.15 Psaumes 35.26 Psaumes 109.29
18 Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako YEHOVA, Ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya nchi yote.Psaumes 59.13 Exode 6.3 Michée 4.13 Psaumes 9.16 Esaïe 42.8

Cette Bible est dans le domaine public.