Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 77
Bible en Swahili de l’est


1 Nimpazie Mungu sauti yangu, Naam, nimpazie Mungu, naye atanisikia. Psaumes 3.4 Psaumes 39.1 Psaumes 50.1 Psaumes 34.6 1 Chroniques 25.3
2 Siku ya taabu yangu nalimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, haukulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika. Esaïe 26.9 Genèse 37.35 Psaumes 50.15 Esaïe 26.16 Proverbes 18.14
3 Nilipotaka kumkumbuka Mungu nalifadhaika; Nilipotaka kutafakari roho yangu ilizimia. Psaumes 61.2 Psaumes 42.5 Job 7.11 Job 6.4 Lamentations 3.39
4 Ulizishika kope za macho yangu zisifumbike; Naliona mashaka nisiweze kunena. Psaumes 6.6 Job 7.13-7.15 Job 6.3 Job 2.13 Esther 6.1
5 Nalifikiri habari za siku za kale, Miaka ya zamani zilizopita. Deutéronome 32.7 Psaumes 143.5 Esaïe 51.9 Psaumes 44.1 Michée 7.14-7.15
6 Nakumbuka wimbo wangu usiku, Nawaza moyoni mwangu, Roho yangu ikatafuta. Psaumes 4.4 Psaumes 42.8 Psaumes 139.23-139.24 Jonas 1.2 Actes 16.25
7 Je! Bwana atatupa milele na milele? Hatatenda fadhili tena kabisa? Psaumes 85.1 Psaumes 85.5 Psaumes 74.1 Psaumes 13.1-13.2 Psaumes 37.24
8 Rehema zake zimekoma hata milele? Ahadi yake imekwisha hata vizazi vyote? Nombres 23.19 Romains 9.6 2 Pierre 3.9 Luc 16.25-16.26 Esaïe 27.11
9 Mungu amesahau fadhili zake? Amezuia kwa hasira rehema zake? Esaïe 49.14-49.15 1 Jean 3.17 Psaumes 25.6 Psaumes 40.11 Luc 13.25-13.28
10 Nikasema, Ndio udhaifu wangu huo; Lakini nitaikumbuka miaka ya mkono wa kuume wake Aliye juu. Psaumes 31.22 Nombres 23.21-23.22 Deutéronome 4.34 Exode 15.6 Habakuk 3.2-3.13
11 Nitayakumbuka matendo ya Bwana; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale. Psaumes 143.5 Psaumes 105.5 1 Chroniques 16.12 Psaumes 77.10 Psaumes 111.4
12 Pia nitaitafakari kazi yako yote; Nitaziwaza habari za matendo yako. Luc 24.14-24.32 Psaumes 104.34 Psaumes 71.24 Psaumes 145.11 Psaumes 145.4
13 Ee Mungu, njia yako i katika utakatifu; Ni nani aliye mungu mkuu kama Mungu? Exode 15.11 Psaumes 73.17 Deutéronome 32.31 Psaumes 63.2 Esaïe 40.18
14 Wewe ndiwe Mungu ufanyaye maajabu; Uliudhihirisha uweza wako kati ya mataifa. Exode 15.11 Daniel 6.27 Psaumes 136.4 Exode 13.14 Josué 9.9-9.10
15 Kwa mkono wako umewakomboa watu wako, Wana wa Yakobo na Yusufu. Deutéronome 9.29 Exode 6.6 Deutéronome 9.26 Psaumes 136.11-136.12 Psaumes 74.2
16 Ee Mungu, yale maji yalikuona, Yale maji yalikuona, yakaogopa. Vilindi vya maji navyo vikatetemeka, Exode 14.21 Josué 3.15-3.16 Habakuk 3.15 Psaumes 114.3-114.6 Habakuk 3.8-3.10
17 Mawingu yakamwaga maji. Mbingu nazo zikatoa sauti, Mishale yako nayo ikatapakaa. Psaumes 18.14 Psaumes 68.8-68.9 2 Samuel 22.15 Psaumes 144.6 Juges 5.4
18 Sauti ya radi yako ikawa katika kisulisuli; Umeme uliuangaza ulimwengu. Nchi ilitetemeka na kutikisika; Psaumes 97.4 Psaumes 104.7 Matthieu 27.51 2 Samuel 22.8 Juges 5.4
19 Njia yako ilikuwa katika bahari. Na mapito yako yalikuwa katika maji makuu; Hatua zako hazikujulikana. Habakuk 3.15 Néhémie 9.11 Nahum 1.3-1.4 Exode 14.28 Psaumes 29.10
20 Uliwaongoza watu wako kama kundi, Kwa mkono wa Musa na Haruni. Exode 13.21 Psaumes 78.52 Psaumes 80.1 Exode 14.19 Esaïe 63.11-63.12

Cette Bible est dans le domaine public.