Un clic sur un verset envoie vers le comparateur de versions.
1 Chroniques 7.26 Bible en Swahili de l’est
1 Na wana wa Isakari; Tola, na Puva, na Yashubu, na Shimroni, wanne.Genèse 46.13 Nombres 26.23-26.24 2 Na wana wa Tola; Uzi, na Refaya, na Yerieli, na Yamai, na Ibsamu, na Shemueli, wakuu wa mbari za baba zao, yaani, wa Tola; watu hodari wa vita katika vizazi vyao; hesabu yao katika siku za Daudi ilikuwa watu ishirini na mbili elfu na mia sita.2 Samuel 24.1-24.9 1 Chroniques 27.1 1 Chroniques 21.1-21.5 1 Chroniques 27.23-27.24 3 Na wana wa Uzi; Izrahia; na wana wa Izrahia; Mikaeli, na Obadia, na Yoeli, na Ishia, watano; wote wakuu. 4 Na pamoja nao, katika vizazi vyao, sawasawa na mbari za baba zao, walikuwapo vikosi vya jeshi la vita, watu thelathini na sita elfu; kwa kuwa wake zao na watoto wao walikuwa wengi.1 Chroniques 12.32 5 Na ndugu zao katika jamaa zote za Isakari, watu hodari wa vita, wakihesabiwa kwa vizazi vyao, walikuwa watu themanini na saba elfu. 6 Wana wa Benyamini; Bela, na Bekeri, na Yediaeli, watatu.Genèse 46.21 1 Chroniques 8.1-8.40 1 Chroniques 7.10-7.11 Nombres 26.38-26.41 7 Na wana wa Bela; Esboni, na Uzi, na Uzieli, na Yerimothi, na Iri, watano; wakuu wa mbari za baba zao, watu hodari wa vita; nao wakahesabiwa kwa vizazi vyao watu ishirini na mbili elfu na thelathini na wanne.2 Chroniques 17.17-17.18 1 Chroniques 21.1-21.5 8 Na wana wa Bekeri; Zemira, na Yoashi, na Eliezeri, na Elioenai, na Omri, na Yeremothi, na Abiya, na Anathothi, na Alemethi. Hao wote ndio wana wa Bekeri. 9 Nao wakahesabiwa kwa vizazi vyao, katika vizazi vyao, wakuu wa mbari za baba zao, watu hodari wa vita, jumla yao watu ishirini elfu na mia mbili. 10 Na wana wa Yediaeli; Bilhani; na wana wa Bilhani; Yeushi, na Benyamini, na Ehudi, na Kenaana, na Zethani, na Tarshishi, na Ahishahari.Juges 3.15-3.30 11 Hao wote ndio wana wa Yediaeli, sawasawa na wakuu wa mbari za baba zao, watu hodari wa vita, kumi na saba elfu na mia mbili, wawezao kwenda vitani katika jeshi.2 Chroniques 17.13-17.19 12 Tena Shupimu, na Hupimu, wana wa Iri; na Hushimu, wana wa Aheri.1 Chroniques 7.15 Genèse 46.21 Nombres 26.38-26.39 13 Wana wa Naftali; Yaseeli, na Guni, na Yeseri, na Shilemu; wana wa Bilha.Nombres 26.48-26.49 Genèse 30.3-30.8 Genèse 35.22 Genèse 46.24-46.25 14 Wana wa Manase; Asrieli, ambaye suria yake, Mwarami, alimzalia, akamzalia na Makiri babaye Gileadi;Nombres 32.30-32.42 Nombres 26.29-26.34 1 Chroniques 2.21-2.23 Nombres 27.1 Deutéronome 3.13-3.15 15 naye Makiri akatwaa mke kwa Hupimu na Shupimu, ambao umbu lao aliitwa Maaka; na wa pili akaitwa jina lake Selofehadi; na Selofehadi alikuwa na binti.Nombres 36.1-36.12 Nombres 26.33 Nombres 27.1-27.11 16 Na Maaka mkewe Makiri, akamzalia mwana, akamwita jina lake Pereshi; na jina la nduguye aliitwa Shereshi; na wanawe walikuwa Ulamu, na Rakemu. 17 Na wana wa Ulamu; Bedani. Hao ndio wana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase.1 Samuel 12.11 18 Na umbu lake, Hamolekethi, akamzaa Ish-hodu, na Abiezeri, na Mala.Juges 8.2 Nombres 26.30 Juges 6.11 Juges 6.34 Juges 6.24 19 Na wana wa Shemida walikuwa Ahiani, na Shekemu, na Liki, na Aniamu. 20 Na wana wa Efraimu; Shuthela, na mwanawe huyo ni Beredi, na mwanawe huyo ni Tahathi, na mwanawe huyo ni Ekada, na mwanawe huyo ni Tahathi;Nombres 26.35-26.36 21 na mwanawe huyo ni Zabadi, na mwanawe huyo ni Shuthela; na Ezeri na Ekadi, ambao watu wa Gathi, wenyeji wa nchi, waliwaua, kwa sababu walishuka ili kuzipokonya ng’ombe zao. 22 Na Efraimu, baba yao, akaomboleza siku nyingi, wakaja nduguze ili kumfariji.Genèse 37.34 Job 2.11 23 Naye akamwingilia mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana, akamwita jina lake Beria, kwa sababu mna mabaya nyumbani mwake.2 Samuel 23.5 24 Na binti yake alikuwa Sheera, ambaye alijenga Beth-horoni, wa chini na wa juu, na Uzen-sheera.Josué 16.3 Josué 16.5 2 Chroniques 8.5 1 Rois 9.17 Josué 10.10 25 Mwanawe ni Refa, na Reshefu, na mwanawe huyo ni Tela, na mwanawe huyo ni Tahani;26 na mwanawe huyo ni Ladani, na mwanawe huyo ni Amihudi, na mwanawe huyo ni Elishama;27 na mwanawe huyo ni Nuni, na mwanawe huyo ni Yoshua.Nombres 13.16 Exode 17.9-17.14 Nombres 13.8 Exode 24.13 Hébreux 4.8 28 Na hizi ndizo hozi zao na makao yao; Betheli na vijiji vyake, na upande wa mashariki Naara, na upande wa magharibi Gezeri na vijiji vyake; na Shekemu pia na vijiji vyake, hata Aza na vijiji vyake;Genèse 28.19 1 Chroniques 6.66-6.67 Juges 1.22 Josué 16.2-16.3 29 na mipakani mwa wana wa Manase; Beth-sheani na vijiji vyake; na Taanaki na vijiji vyake; na Megido na vijiji vyake; na Dori na vijiji vyake. Katika miji hiyo walikaa wana wa Yusufu, mwana wa Israeli.Juges 1.22-1.29 Apocalypse 16.16 2 Rois 23.29 2 Chroniques 35.22 Juges 5.19 30 Wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na umbu lao, Sera.Genèse 46.17 Nombres 26.44-26.46 31 Na wana wa Beria; Heberi, na Malkieli, aliyekuwa babaye Birzaithi. 32 Na Heberi akamzaa Yafleti, na Shomeri, na Hothamu, na umbu lao, Shua. 33 Na wana wa Yafleti; Pasaki, na Bimhali, na Ashvathi. Hao ndio wana wa Yafleti. 34 Na wana wa Shomeri; Ahi, na Roga, na Yehuba, na Aramu. 35 Na wana wa nduguye Helemu; Sofa, na Imna, na Sheleshi, na Amali. 36 Wana wa Sofa; Sua, na Harneferi, na Shuali, na Beri, na Imra; 37 na Bezeri, na Hodu, na Shama, na Shilsha, na Ithrani, na Beera. 38 Na wana wa Yetheri; Yefune, na Pispa, na Ara. 39 Na wana wa Ula; Ara, na Hanieli na Risia. 40 Hao wote ndio wana wa Asheri, wakuu wa mbari za baba zao, watu wateule, hodari wa vita, wakuu wa mashehe. Na hesabu yao waliojumlishwa kwa vizazi vyao kwenda vitani walikuwa watu ishirini na sita elfu.1 Chroniques 21.1-21.5 2 Samuel 24.1-24.9