Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Proverbes 10.2
Bible en Swahili de l’est


1 Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye.Proverbes 29.3 Proverbes 15.20 Proverbes 1.1 Proverbes 23.15-23.16 Proverbes 29.15
2 Hazina za uovu hazifaidii kitu; Bali haki huokoa na mauti.Proverbes 11.4 Proverbes 21.6 Luc 16.22-16.23 Daniel 4.27 Ezéchiel 7.19
3 Bwana hataiacha nafsi ya mwenye haki ife na njaa; Bali tamaa ya mtu mwovu huisukumia mbali.Psaumes 37.25 Psaumes 34.9-34.10 Matthieu 6.30-6.33 Proverbes 14.32 Job 20.5-20.8
4 Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.Proverbes 21.5 Proverbes 20.4 Proverbes 13.4 Proverbes 19.15 Proverbes 12.24
5 Akusanyaye wakati wa hari ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.Proverbes 6.8 Proverbes 17.2 Proverbes 19.26 Proverbes 30.25 Proverbes 12.4
6 Baraka humkalia mwenye haki kichwani; Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu.Proverbes 10.11 Proverbes 28.20 Job 29.13 2 Timothée 1.16-1.18 Esther 7.8
7 Kuwakumbuka wenye haki huwa na baraka; Bali jina la mtu mwovu litaoza.Psaumes 112.6 Psaumes 109.13 Luc 1.48 Marc 14.9 Psaumes 9.5-9.6
8 Aliye na akili moyoni mwake atapokea agizo; Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka.Proverbes 12.1 Matthieu 7.24-7.25 Proverbes 14.23 Proverbes 10.10 Proverbes 13.3
9 Aendaye kwa unyofu huenda salama; Bali apotoshaye njia zake atajulikana.Proverbes 28.18 Esaïe 33.15-33.16 Psaumes 26.11-26.12 1 Timothée 5.25 Matthieu 10.26
10 Akonyezaye kwa jicho huleta masikitiko; Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka.Proverbes 6.13 Psaumes 35.19 Proverbes 10.8 Proverbes 18.21 Proverbes 18.6-18.7
11 Kinywa chake mwenye haki ni chemchemi ya uzima; Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu,Proverbes 10.6 Proverbes 13.14 Proverbes 18.4 Ephésiens 4.29 Proverbes 20.15
12 Kuchukiana huondokesha fitina; Bali kupendana husitiri makosa yote.1 Pierre 4.8 Proverbes 17.9 Jacques 5.20 Proverbes 15.18 Jacques 4.1
13 Hekima hupatikana midomoni mwa mwenye ufahamu; Bali fimbo hufaa kwa mgongo wake asiye na ufahamu.Proverbes 26.3 Proverbes 6.32 Proverbes 10.10-10.11 Proverbes 17.10 Proverbes 19.29
14 Watu wenye akili huweka akiba ya maarifa; Bali kinywa cha mpumbavu ni uangamivu ulio karibu.Proverbes 18.7 Proverbes 10.8 Proverbes 9.9 Proverbes 13.3 Proverbes 10.10
15 Mali ya mtu tajiri ni mji wake wa nguvu; Uangamivu wa maskini ni umaskini wao.Proverbes 18.11 Psaumes 52.7 Proverbes 19.7 Marc 10.24 Jérémie 9.23
16 Kazi yake mwenye haki huuelekea uzima; Mazao ya wabaya huuelekea dhambi.Romains 6.23 Galates 6.7-6.9 Proverbes 11.18-11.19 Jean 6.27 1 Corinthiens 15.58
17 Akubaliye kurudiwa huwa katika njia ya uzima; Bali yeye aachaye maonyo hukosa.Proverbes 15.10 Proverbes 1.25-1.26 Proverbes 3.1-3.2 Proverbes 5.12 Proverbes 3.18
18 Yeye afichaye chuki ana midomo ya uongo, Na yeye asingiziaye ni mpumbavu.2 Samuel 3.27 2 Samuel 11.8-11.15 2 Samuel 20.9-20.10 Proverbes 26.24-26.26 Psaumes 12.2
19 Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili.Jacques 3.2 Jacques 1.19 Ecclésiaste 5.3 Psaumes 39.1 Proverbes 17.27-17.28
20 Ulimi wa mwenye haki ni kama fedha teule; Moyo wa mtu mbaya haufai kitu.Proverbes 12.18 Genèse 8.21 Proverbes 16.13 Proverbes 15.4 Proverbes 25.11-25.12
21 Midomo ya mwenye haki hulisha watu wengi; Bali wapumbavu hufa kwa kuwa hawana ufahamu.Osée 4.6 Proverbes 5.23 Job 29.21-29.22 Job 4.3-4.4 Job 23.12
22 Baraka ya Bwana hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo.Genèse 24.35 Psaumes 107.38 Genèse 26.12 Genèse 12.2 Psaumes 113.7-113.8
23 Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; Bali mtu mwenye ufahamu ana hekima.Proverbes 15.21 Proverbes 2.14 Ecclésiaste 11.9 Proverbes 26.18-26.19 Proverbes 14.9
24 Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia; Na wenye haki watapewa matakwa yao.Psaumes 145.19 Matthieu 5.6 1 Jean 5.14-5.15 Job 15.21 Esaïe 66.4
25 Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena; Bali mwenye haki ni msingi wa milele.Psaumes 15.5 Psaumes 58.9 Proverbes 12.3 Proverbes 10.30 Proverbes 12.7
26 Kama siki menoni, na kama moshi machoni, Ndivyo alivyo mtu mvivu kwao wamtumao.Proverbes 25.20 Romains 12.11 Matthieu 25.26 Proverbes 25.13 Proverbes 26.6
27 Kumcha Bwana kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa.Proverbes 9.11 Proverbes 3.2 Job 15.32-15.33 Psaumes 55.23 Luc 12.20
28 Matumaini yao wenye haki yatakuwa furaha; Bali kutaraji kwao wasio haki kutapotea.Job 8.13 Job 11.20 Proverbes 11.7 2 Thessaloniciens 2.16 Romains 5.2
29 Njia ya Bwana ni kimbilio lake mtu mkamilifu; Bali ni uharibifu kwao watendao maovu.Proverbes 21.15 Psaumes 37.20 Psaumes 1.6 Psaumes 84.7 Philippiens 4.13
30 Mwenye haki hataondolewa milele; Bali wasio haki hawatakaa katika nchi.Psaumes 37.22 Psaumes 125.1 Psaumes 37.28-37.29 Proverbes 2.21-2.22 Psaumes 16.8
31 Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima; Bali ulimi wa ukaidi utakatiliwa mbali.Psaumes 37.30 Proverbes 10.13 Psaumes 63.11 Psaumes 31.18 Proverbes 10.11
32 Midomo ya mwenye haki huyajua yatakayokubaliwa; Bali kinywa chao wasio haki hunena ukaidi.Ecclésiaste 12.10 Proverbes 11.11 Proverbes 18.6-18.8 Proverbes 12.6 Proverbes 15.28

Cette Bible est dans le domaine public.