Un clic sur un verset envoie vers le comparateur de versions.
2 Samuel 19.41 Bible en Swahili de l’est
1 Kisha Yoabu akaambiwa, Angalia, mfalme anamlilia Absalomu na kumwombolezea. 2 Samuel 18.14 2 Samuel 18.5 Proverbes 17.25 2 Samuel 18.12 2 Samuel 18.20 2 Na kushinda kwao vitani siku ile kukageuzwa kuwa maombolezo kwa watu wote; maana watu walisikia siku ile ya kwamba, Mfalme anahuzunika kwa ajili ya mwanawe. Proverbes 16.15 Proverbes 19.12 3 Watu wakajificha siku ile, wakaingia mjini kama vile watu waonao fedheha wajifichavyo, hapo wakimbiapo vitani. 2 Samuel 19.32 Genèse 31.27 2 Samuel 17.24 4 Mfalme akajifunika uso; na mfalme akalia kwa sauti kuu, Mwanangu Absalomu, Absalomu, mwanangu, mwanangu! 2 Samuel 15.30 2 Samuel 18.33 5 Basi Yoabu akaingia nyumbani kwa mfalme, akasema, Wewe leo umefedhehesha nyuso za watumishi wako wote, waliokuokoa leo roho yako, na roho za wanao, na za binti zako, na roho za wakezo, na roho za masuria wako; Psaumes 18.47-18.48 Néhémie 9.27 Psaumes 3.8 6 kwa kuwa unawapenda wakuchukiao, na unawachukia wakupendao. Maana umetangaza leo ya kuwa wakuu na watumishi wako si kitu kwako; maana leo nimetambua hivi; kama Absalomu angaliishi, na sisi sote tungalikufa leo, ingalikuwa vyema machoni pako. 2 Samuel 3.24-3.25 Job 34.18 Actes 23.5 Proverbes 19.9-19.10 7 Basi sasa, ondoka, utoke nje, ukaseme na watumishi wako maneno ya kuwatuliza roho zao; maana mimi nakuapia kwa Bwana, usipotoka, hatabaki hata mtu mmoja pamoja nawe usiku huu; na mambo haya yatakuwa mabaya kwako kuliko mabaya yote yaliyokupata tokea ujana wako hata sasa. Proverbes 14.28 Genèse 34.3 Osée 2.14 Esaïe 40.1 Psaumes 71.18-71.20 8 Ndipo mfalme akaondoka, akaketi langoni. Nao wote wakaambiwa ya kwamba, Angalieni, mfalme ameketi langoni; watu wote wakaenda huko mbele ya mfalme. Basi, Israeli wote walikuwa wamekimbia kila mtu hemani kwake. 2 Samuel 18.24 2 Samuel 18.4 2 Rois 14.12 2 Samuel 18.6-18.8 2 Samuel 18.17 9 Wakashindana watu wote katika kabila zote za Israeli, wakisema, Mfalme alitutoa mikononi mwa adui zetu, akatuokoa mikononi mwa Wafilisti; naye sasa amekimbia kutoka nchi hii mbele ya Absalomu. 2 Samuel 15.14 2 Samuel 8.1-8.14 1 Samuel 18.25 1 Samuel 19.5 Genèse 3.12-3.13
41 Tena, angalia, watu wote wa Israeli wakamjia mfalme wakamwambia mfalme, Kwa nini ndugu zetu, watu wa Yuda wamekuiba, na kumvusha Yordani mfalme, na jamaa yake, na watu wote wa Daudi pamoja naye? Juges 12.1 Juges 8.1 Jean 7.5-7.6 2 Samuel 19.3 Genèse 31.26-31.27 42 Ndipo watu wote wa Yuda wakawajibu hao watu wa Israeli, Ni kwa sababu mfalme ndiye wa jamaa yetu; mbona basi ninyi mmekasirika kwa ajili ya jambo hili? Je! Sisi tumekula kitu cha mfalme? Ama ametupa sisi zawadi yo yote? 2 Samuel 19.12 2 Samuel 5.1 1 Chroniques 2.3-2.17 43 Hao watu wa Israeli wakawajibu watu wa Yuda, wakasema, Sisi tunazo sehemu kumi katika mfalme, tena tunayo haki yetu katika Daudi zaidi kuliko ninyi; mbona basi ninyi mmetudharau sisi, lisitakwe kwanza shauri letu katika kumrudisha tena mfalme wetu? Na maneno ya watu wa Yuda yakawa makali kuliko maneno ya watu wa Israeli. Galates 5.20 2 Samuel 5.1 1 Rois 11.30-11.31 Jacques 3.14-3.16 Galates 5.26